Recent content by Mr Penal Code

  1. Mr Penal Code

    Kuna anayetumia GB WhatsApp anipe mrejesho?

    Mimi walinifungia (permanent ban) nilijaribu kuwaomba kwa ku appeal mara kadhaaa wamenifungulia jana baada ya miezi 3 ,nilikuwa tayari nimeshabadilisha number ya whatspp na kwa sasa natumia whatspp OG kwa number nyingine huku ile main number natumia whatspp official. Cha muhimu ni kutumia...
  2. Mr Penal Code

    This account cannot use WhatsApp

    Nime try kutumia number ingine ya WhatsApp nikatumia WHATSPP GB , nimepigwa ban [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36] hawa jamaaa watanimaliza nitumie official Application tu sasa.
  3. Mr Penal Code

    This account cannot use WhatsApp

    Hawa jamaa wapo serious sana na watu wanaotumia whatspp GB ni hatari sana.
  4. Mr Penal Code

    This account cannot use WhatsApp

    Au baada ya muda gan wanakutolea Ban mkuu? Ufafanuzi daaa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  5. Mr Penal Code

    This account cannot use WhatsApp

    [emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061] daaa mzee hi ni permanent au baada ya muda wanakufungulia hiyo number??
  6. Mr Penal Code

    This account cannot use WhatsApp

    Hapa sitoboi mzeee hii imeisha daa nina ban la mwezi sasa.
  7. Mr Penal Code

    This account cannot use WhatsApp

    Ngoja ni jaribu mkuuu wangu, shukrani
  8. Mr Penal Code

    This account cannot use WhatsApp

    Asante mkuu kwa wastani natakiwa kukaa masaa mangapi au siku ngapi?
  9. Mr Penal Code

    This account cannot use WhatsApp

    Hawajaniambia mkuu wangu nahisi sijui ni permanent hata sielewi asee.
  10. Mr Penal Code

    This account cannot use WhatsApp

    Bila bila mkuu check inbox yako kaka.
  11. Mr Penal Code

    This account cannot use WhatsApp

    Watalaamu mpo kimya sana.
  12. Mr Penal Code

    This account cannot use WhatsApp

    Mkuu nimetuma email zaidi ya 10, whatspp support wapo kimya sana [emoji24][emoji24][emoji24]
Back
Top Bottom