Recent content by MR NLH

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nina uhitaji sana wa nafasi ya kazi, nina uzoefu wa kazi katika Microfinances na NGO's

    Wakuu bado sijafanikiwa mpaka sasa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nina uhitaji sana wa nafasi ya kazi, nina uzoefu wa kazi katika Microfinances na NGO's

    Habari za leo wakuu. Lengo la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi. Nina uzoefu wa kazi katika Microfinances kama loan officer, Data clerk, pia katika NGO's kama social worker. Pia nina uwezo wa kufanya kazi hata kwenye field nyingine. Naomba mnisaidie connection katika kampuni au NGO's...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sasa mkuu, kucheza single bet yani kila timu hapo ucheze peke yake si inahitaji pesa kubwa ili uone faida, mtu unakuta anaunganisha izo zote kwenye mkeka mmoja kwa sababu anaweka buku au buku mbili
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii option ipo kampuni gani mkuu, maana nimeicheki sportybet na betpawa sijaiona kabisa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profile Sex : Male Education level : Degree Degree program : Agricultural economics and Agribusiness Experience : 2 years as Loan officer in Microfinance companies, Data clerk. Location : Dar es Salaam & Kibaha
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Umempa jibu moja zuri sana, yani watu wanadhani betting ni simple sana yani kila code utakayo share humu ishinde.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duuh, mkuu kumbe siku hizi betpawa wanaruhusu kubet mpaka mechi 100+, maana mimi nilikuwa najua wanaruhusu mwisho mechi 60 tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta ajira (kazi) kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote, Naombeni nafasi nijikwamue kimaisha ndugu zangu

    Ni kweli kabisa mkuu, Sijakata tamaa naendelea kupambana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    Pwani mfano ni Kiwanda gani mkuu, tukajaribu kuomba nafasi
Back
Top Bottom