Recent content by Mr never Told

  1. M

    JamiiForums Network ya kum-trace mtu anaejifanya Janjajanja

    Hata mie nahitaji sana kuna mutu namtafuta kazingua kwa kuondoka na mali zangu
  2. M

    JamiiForums Network ya kum-trace mtu anaejifanya Janjajanja

    Naombeni Ushauri wajameni, My wife nilitengana nae 4long now na dogo nilikuwa nae akisoma but alikuja akamuiba Chali yangu je, ni mbinu gani zaweza nisaidia alipo maana anatakiwa afike Mahakamani kwa kumtorosha Mtoto shule...........Msaada wenu plz. Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums...
  3. M

    JamiiForums Tambua wakati mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha!

    Daaah mada nimeipenda ila mie nilikutana na m'mke niliye ishi nae kwa kitambo kiasi, nikampeleka baada ya kupata vihela but alivyo badilika ikawa ni shida, pesa yangu haikuwa na thamani eti maana ni ndogo total aliwapenda wenye nyingi.So, sio eti ukiwa kapuku ndo utakutana na mtu sahihi...
Back
Top Bottom