Kama nchi tunapaswa kuandaa misingi ya elimu kwa vitendo. Hili linahitaji mabadiliko makubwa na maboresho ya mfumo mzima wa ELIMU, Kuna umuhimu wa kumuandaa mwanafunzi kubobea taaluma mahusisi kutoka hatua za awali kabisa. Ndio maana wanafunzi wengi Hadi wanafika kidato Cha nne na sita hawajui...
ELIMU: MSINGI, KING'AMUZI NA KICHOCHEZI CHA MAENDELEO KATIKA NYANJA ZOTE AMBAZO TUNAHITAJI ZIJENGEKE.
Chanzo: Google Help
Nchini Tanzania, suala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, Wala kuelekeza nguvu kubwa katika kunadi sera za elimu pekee, bali tunahitaji kufanya mchanganuo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.