Recent content by Mr Mlokozi

  1. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wanafunzi wote sekondari zaidi form 4 pamoja na walimu wa biology

    Nimekuandalia notice nzuri sana za biology ambazo zina kila maudhui yanahitajika kwa ajiri yako ndani yake topic zote zinazotoka kwenye practical
  2. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Naomba kuuliza pia kwan kati ya mimba na mama nani alianza? nadhani jibu la hili swali litakuwa sawa na swali lako
  3. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Je, twisheni za mtaani kipindi cha likizo zinawasaidia Wanafunzi au zinawapoteza?

    Kuna baadhi ya walimu kati shule kadhaa hawataki kabisa kusikia wanafunzi wao wanaenda kusoma tuisheni kipindi Cha likizo wakidai kwamba zinapoteza na kuvuruga uelewa wa kile alichowafundisha (Hawa hawaamini katika tuisheni za mtaani) Pia Kuna walimu ambao wanawapa wanafunzi wao maelekezo ya...
  4. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Je, twisheni za mtaani kipindi cha likizo zinawasaidia Wanafunzi au zinawapoteza?

    Kuna baadhi ya walimu kati shule kadhaa hawataki kabisa kusikia wanafunzi wao wanaenda kusoma tuisheni kipindi Cha likizo wakidai kwamba zinapoteza na kuvuruga uelewa wa kile alichowafundisha (Hawa hawaamini katika tuisheni za mtaani). Pia Kuna walimu ambao wanawapa wanafunzi wao maelekezo ya...
  5. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    Hapo kwenye suala wazazi kuzungumza na watoto wao ... Kuna wazazi hawazungumzi kabisa na watoto wao kuhusu maendeleo Yao kielimu wanachojali wao ni kufanya mambo ya kuwafurahisha watoto wao tu hata kama mtoto hayupo motivated kusoma yeye hawezi kuzungumza nae ili awe motivated anachojali ni...
  6. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    swala la kuwafundisha ni la mwalimu lakini mzazi anapaswa kutengeneza mazingina rafiki ya mtoto kujifunza naomba kunukuu Ni muhimu kufahamu kuwa matokeo ya mtihani yanategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na juhudi za mwanafunzi, mazingira ya kujifunzia, na mbinu za kufundishia. Hata hivyo...
  7. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    usemacho kitakuwa kweli pale tu ambapo zaidi ya robo tatu ya darasa wamefeli lakini ikiwa ikiwa ni mwanao pekee ndo kafeli hapo kosa ni eidha la kwako mzazi au mwanao
  8. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    walimu kama hao kweli wapo lakini lakini kiwa hivyo tunategemea zaidi ya robo tatu ya darasa wafeli lakini wengi wamefauru na wachache wamefelin bado huyu mwalimu hajatimiza wajibu wake?
  9. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Haya Sasa ni zamu yangu naombeni like zangu
  10. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    asante sana kwa maelezo mazuri sana hskika mzazi akitimiza majukumu yake hayo pamoja na mengine , mwalimu akafanya wajibu wake kikamilifu pamoja na mtoto kutia juhudi binafsi lazima mtot afauru tu
  11. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    naweza kukubaliana na wewe katika swala na asilimia hizo kwa maana sina takwimu kamili lkn naomba kuliza je jukumu la mzazi ili mtoto afauru ni kulipa ada na mahitaji ya shule pekee?
  12. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    kweli kabisa kama ulivyosema twende kiuhalisia na kiuharisia kwa hali ilivyo hivi sasa si kwelikwamba ni asilimia 50 tu ndo zenye migogoro siku hizi migogoro katika familia ni mingi sana na ndiyo maana inapelekea kuongezeka kwa familiia za mzazi mmoja au watoto kuishi na wazazi wa kambo sasa...
  13. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    kabisa hivyo mzazi pia anapaswwa kushiriki katika kumcoach mtoto na kuakikisha kuwa changamoto za kifamiia aziathiri saikolojia yake (anapaswa kuwa stree free)
  14. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    unaweza kumlaumu kama hajatimiza wajibu wake kikamilifu lakini kabla ya kumlaumu jiulize kwanza wewe umetiza wajibu wako? Kuna wakati mwingine watoto wanafeli kutokana na stress za nyumbani hilo nalo ni jukumu la mwalimu?
Back
Top Bottom