Recent content by mr mkwawa

  1. mr mkwawa

    JamiiForums Tanzania Investigation Officers II (250 Posts) at PCCB / TAKUKURU February, 2024

    Kutoka kwa utuba ya waziri PCCB awajiri tena maana amesema kuwa watumishi waliopo wanatosha kabisa.
  2. mr mkwawa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mk sijakuelewa hoja yako hapa
  3. mr mkwawa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Inategemeana na ulifanya kwenye taasisi ipi kama ji LGAs&MDAs huwa aibadililiki hta kama umefnya orral itabaki hivyo selected for oral.ila kama umfanya hzi taasisi za kujitegemea mfano bunge na nyingine hzi , baada ya oral kma ujafaulu huwa zinaonyesha kabisa not selected . Maana yake ujafaul...
  4. mr mkwawa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sema watu wengi siku hzi ni kupiga ramli tu ,amna tena kupeana amasa na maelekezo juu ya interview zijazo.
  5. mr mkwawa

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wameitwa kwenye interview shirika la Posta(Tanzania postal corporation)

    Amna , zile kazi zilikuwa danganya toto tu
  6. mr mkwawa

    JamiiForums Tanzania Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Yametoka.
  7. mr mkwawa

    JamiiForums Tanzania Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Majina tyari uku
  8. mr mkwawa

    JamiiForums Tanzania Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Sema hizi taasisi za nusu majeshi , zinaarakati zake tofauti , unaweza kuta hata hawa takukuru watafanya kama uhamiaji.yaani baada ya written ni mafunzo uwezi jua.
  9. mr mkwawa

    JamiiForums Tanzania Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Basi mna bahati sana. Hongereni lkn.
  10. mr mkwawa

    JamiiForums Tanzania Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Mlifanya oral interview lini mzee
  11. mr mkwawa

    JamiiForums Tanzania Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Sidhani kama walifanya oral , ni written tu ndio walifanya kutoka katika vyazo vyangu vya taarifa. Ila kama kuna watu wanajua ukweli watuambia . Ila za nchini chini , watu walipiga written tu alaf straight mafunzo
  12. mr mkwawa

    JamiiForums Tanzania Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Hvi na hawa takukuru uwa wanafanya oral interview au wao wapo kama uhamiaji , written interview alaf ukifaulu ww ni straight kambini mafunzo
  13. mr mkwawa

    JamiiForums Tanzania Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Full mauza mauza mzee[emoji23][emoji23]
  14. mr mkwawa

    JamiiForums Tanzania Investigation Officers II (250 Posts) at PCCB / TAKUKURU February, 2024

    Nakuja pm kiongozi
Back
Top Bottom