kikoozi,
Mkuu kama jina lako lilivyo, kweli wewe ni kikohozi, mzee wako kaamua kukutafunia limao na tangawizi ili ujiongeze, wewe sio mtoto wa kukaa kwa wazazi, toka kajenge familia yako, tumia elimu yako hiyo kwani inaonekana hiyo degree haijakukomboa kifikra.
Njoo singida wilaya ya iramba idara ya secondary mimi nije arusha wilaya yoyote. Matapeli msinitafte kwani humu kuna watu matapeli so walimu muwe makini wanapopiga simu na kudai wanaweza kukusaidia kuhama ila uwe na mkono mwepesi au maji.
Mwalimu Gloria Benson yupo Wilaya ya Iramba-Singida, anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka mkoa wa dar idara ya sekondari, mtafte kwa 0753588636
Nipo Iramba singida, kwa yeyote aliyeko halmashauri yoyote Arusha na anataka kuja huku iramba anitafute kwa 0785322221 au kwa email>elipokeamanase@yahoo.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.