Tatizo mleta mada hujatambua sera za vyombo vya habar unavyoita vya kimataifa.Nani kakwambia wapo kwa ajili ya kuitangaza Africa kwa Mazuri.Fanya taft habar za Africa 90%kama sio 100% wanatangaza katika mtazamo upi.Ushabk mwingne usio na mashko katika jambo nyet kama hili ni kujipuuza cc...
Mwanafyale; Unashindwa kutofautisha kilicholetwa kwenye uzi huu.Gadaf anaesemwa hapa ni Kiongoz aliyekuwa na roho ya upendo na uzalendo kwa watu wake na Africa kwa ujumla.Vitabu alivyosambaza Vatican ni vitabu vitakatifu hata kama angesambaza Biblia wakati yeye ni mwslamu mantiki yake ilikuwa...
Tumekuwa tukisema eti ooh! Kagema kapenyeza watu wake ndio maana anapata ujasili na kburi,sasa wameanza kujivua gamba na kuongea kwa ujasili ili aliyewatuma awaskie.Bado wasalti wako wengi watajvua gamba mtawaona.Badala ya kuleta hoja zenye kuimarsha udugu wao wanafkir kila kitu ni kupnga.Lakin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.