Kwa hali ilivyo sasa CUF inahitaji viongozi wapya kabisa wenye uwezo wa kuijenga kivingine, maana ilipo sasa ni sawa na timu ya mpira wa miguu iliyokwisha pigwa goli 4 kwa 0, na inataka ifanye kupindua matokeo ili ipate ushindi katika dk za lala salama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.