Recent content by MR. KIDNEY

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bofya hapa

    Jamani ndugu zangu nimefika mwisho sasa kama kuna anayejua wapi huwa wanatoa udhamini wa masomo naomba anisaidie. Mimi ni mwanachuo wa chuo cha waganga.
  2. M

    JamiiForums Tanzania muhas MUHAS.

    Nisaidie jina la faustine muzambele aliomba ordinary diploma
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wale wanaosubiria post za afya

    matokeo gani kwani wewe umefanya mtihani gani hadi upewe matokeo? Halafu wewe unaonekana hata medical field huifai kwa nini usiende hata kada nyingine bwana. Kwani majina uliyotumia kutuma maombi ni yapi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wale wanaosubiria post za afya

    acha kuamini kwani kuna aliyekulazimisha uamini au unataka hadi mtu ascan walaka mbona mnauliza mkijibiwa mnajifanya majibu syo yenyewe au mlishazoea mnajibiwa fyongo eti?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wale wanaosubiria post za afya

    swali lisilo na maana kabisa kwa unategemea niseme ndio. Uwe unafikiria kwanza
  6. M

    JamiiForums Tanzania diploma in dental technology vs diploma in clinical medicine

    Huyo dental ni specialist kabisa unataka ulinganishe na ambaye siyo specialist bora dental wewe.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wale wanaosubiria post za afya

    Huyu amepanga awarushe roho official information ni hizi hata kuchagua bado zoezi linatarajiwa kuanza tarehe 27 sept hadi tarehe 4 oct na watakaochaguliwa kutangazwa tar 5-10/oct. Tulieni tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Certificate in clinical medicine(clinical assistant).

    hujaelewa kwani nimesema akasome degree ya medicine? We vp kama huelewi usichangie kiuzoefu ili uonekane umeandika tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Certificate in clinical medicine(clinical assistant).

    Jamani wana jf naomba kuuliza hivi mtu aliyemaliza kozi hyo ya clinical assistant anaweza kusoma degree ya medical administration au management? Maana nasikia kwamba sifa ni "any medical related course". Naomba kusaidiwa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania News - HESLB

    hivi wewe una akili? Unajisikia kama kuna hata kapunje ka akili kidogo? Angalia title yako hyo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania msaada wa tovuti ampapo naweza kupata notice online

    Unataka notice gani be specific
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kuvimba Miguu: Chanzo, Ushauri, dawa na tahadhari (pamoja na wajawazito)

    It known as oedema of lower limbs.
Back
Top Bottom