Waislam wamekatazwa kudhulumu na kudhulumiwa. Wanapopigana kupinga dhulma wanapigana kwa imani. Wakiuwa au wakiuliwa ni washindi. Wana imani, subra na matarajio makubwa. Na ndio maana unashangaa maneno yao na vitendo vyao. Mayahudi wanauwa sana lkn bado wanatapatapa. Maneno tu yanawaumiza...
Si mwanamke tu hata mwanamme, uislam ni DINI si mtu. DINI imekamilika wala haibadiliki maandiko yake. Kufuata au kutokufuata maamrisho ya dini hakumaanishi kuwa hayo maamrisho hayapo.
Hakika. Ni ktk njama za kuwafanya watu wachukie uislam. Lkn Muumba hudhihirisha ukweli kwa wakati anaoutaka. Waislam hawaruhusiwi kuuwa bila ya sababu za kisheria.
Hii picha ni ya zamani sana haipungui miaka 3, kila ikiingia ramadhani inaletwa tena. Tukio la picha hii limepitwa na makati. Ni vizuri kutoa habari zilizopo sio zilopitwa na wakati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.