ELECTRIC FENCE
Hii ni fence ya umeme yenye kupiga shoti, pindi mtu yeyote atakapojaribu kukatiza fence kuingia au kutoka nje ya kampound kupitia either juu ya ukuta au mahali ilipofungwa fence.
King'ora pia kitalia kwa sauti kubwa endapo mtu atajaribu kukatiza, kukata au atakapopigwa short na...