Asante sana mkuu, umenipa ushauri mzuuri sana na ninashukuru sana kwa hilo.
Binafsi nina changamoto sana ya kupata nafasi ya kudhuru mitaa yetu ili kutafuta mwenza kutokana na majukumu niliyonayo. Hata hivyo ntajitahidi kufata ushauri wako labda yawezekana ntafanikiwa kwa upande huo.
Kwa hali ilivyo kwa sasa haswa kwenye mitandao ya kijamii wamejazana sana wanawake wanaonadi sera za 'udangaji' na kutaka kuaminisha uma kuwa mwanamke yupo kwa ajili ya kulipwa fedha ili awe kwenye mahusiano na mwanaume anayetoa hizo fedha, na inakuwa hivyo kila wakati unapaswa kutoa fedha na...
Habari zenu wanajamii,
Natumaini mko salama. Nimeamua tena kuweka tangazo hili kwa lengo la kukutana na mwenza wa maisha mwenye nia thabiti na malengo ya dhati.
Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi Dar es Salaam. Natafuta mwanamke Mkristo mwenye umri wa miaka 25 hadi 35, mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.