Ni huzuni kwakweli lakini msongo wa mawazo mara nyingi huambatana na kucommit suicide sijui zile tuhuma zilikuwa za kweli au la mana wakorea...
My mister inabaki kuwa drama bora sana na huyu idol IU hivi ni anajua sana au ana bahati ya kutokea kwenye drama bora? ikiwemo ya
Moon lovers...
Queen of Tears Ukiangalia mwisho mwa episode ya 6 mwandishi anaendelea kutudokeza mwendelezo wa anguo la FL na ML,
Maana nafasi ya ku kutoku divorce ni 95% (Kwa kuzingatia vigezo na ushahidi feki uliopandikizwa)
Pia FL hataamini kama ML kwamba ni msaliti
Lakini ukizingatia uchunguzi...
Habari Chingu,
Kitambo sijachangia humu jukwaani,2024 imeanza vizuri baadhi ya drama kali zishatoka na zinginezo zinakuja
Hizi drama za Side country zina vibe flani hivi ya kipekee( Nimemalizana na Welcome to Samdaril,imekuwa project yangu ya kwanza kuimaliza kwa mwaka 2024)
Natarajia kuanza...
Hii drama inakupa furaha na majonzi kwa wakati mmoja mana kuna love story,uvamizi wa ming huko joseon yaan maswala ya political na mengineyo,hakuna utoto kivilee..anyway nasubiri part 2 imalizike yote kisha niiangalie..mana wana mpango wa kuirefusha kidogo...
Kuna wakati taste ya mtu inabadilika lakini drama zinazopendwa na wengi zinanishinda hizi ni baadhi..
Goblin
Six flying dragon
Just btn lovers
Vincenzo
Song of bandits
DP
Mr sunshine
Itaweon class
Mpaka wakati mwingine labda taste itabadilikika nitazirudia....
Kwasasa niangalie ongoing
My...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.