Recent content by mpushi

  1. mpushi

    JamiiForums Tanzania TRC/ Serikali iangalie kwa kina athari zinazoweza kujitokea eneo la daraja la Tungi/Yespa Morogoro

    Serikali iangalie kwa kina madhara yanayoweza kujitokeza kwa wananchi wanaovuka kutoka upande wa Tungi kwenda Yespa na Yespa kwenda Tungi, maana kuna wengine wanavuka ndani ya maji baada ya daraja kukatwa na wengine wengi wanavuka kwa kupanda juu ya tuta la mwendo kasi
  2. mpushi

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kuchimba visima Morogoro!

    Nenda pale magorofani PUMA, wapo stationed pale na magari yao kabisa
  3. mpushi

    JamiiForums Tanzania Ubora duni wa viongozi wetu: Niko mjini Morogoro, MORUWASA ni mfano wa uongozi mbovu

    Hili tatizo la maji Morogoro ni tatizo sugu, kasi ya uunganishaji maji na mgao wa maji hauendani kabisa na mahitaji ya watu, chanzo cha uhakika kipo mindu nashangaa kwanini miuondombinu ya maji inachukua muda mrefu hivyo kukamilika, Waziri, RC na DC fuatilieni swala hili mitaani mjue hali halisi...
  4. mpushi

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Prof. Fulgens Linus Mbunda afariki dunia

    Mkuu poleni sana sana, nmefurahi kumuona Fr Fidelis Mgimwa akiwa bado mwenye afya njema, mwl wangu wa social ethics 2010 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mpushi

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Prof. Fulgens Linus Mbunda afariki dunia

    Alibaki hapo kama Lecturer wa kawaida? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mpushi

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Prof. Fulgens Linus Mbunda afariki dunia

    Mkuu hivi Dr Cephas Mgimwa alishatolewa U VC hapo RUCU, na yupo chuo gan sikuhizi ? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mpushi

    JamiiForums Tanzania Majina ya Vituo vya Mabasi Arusha yana mvuto wa kipekee tofauti na Mikoa mingine

    polisi, chuoni, rasharasha, mlimani, beneti, kaburi moja, ngarash, sinoni, makao mapya, soko la vumbi, lashaine, olarashi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mpushi

    JamiiForums Tanzania Ukerewe: Tuhuma ya utekaji uliofanywa na Askari Polisi

    Asante sana na gari iliyotumika kumbeba ni namba T 500 DRC Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mpushi

    JamiiForums Tanzania Ukerewe: Tuhuma ya utekaji uliofanywa na Askari Polisi

    Tumefanikiwa kupata namba za gari lililombeba T500DRC Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mpushi

    JamiiForums Tanzania Ukerewe: Tuhuma ya utekaji uliofanywa na Askari Polisi

    Baada ya kuhangaika mtafuta bila mafanikio na kwa kuwa aliekwenda mkamata ni askari polisi anaefahamika na gari iliyotumika inafahamika tumeona tuireport humu labda tunaweza fikisha ujumbe kwa wakubwa zake kwa msaada zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mpushi

    JamiiForums Tanzania Ukerewe: Tuhuma ya utekaji uliofanywa na Askari Polisi

    Kwa mujibu wa bodaboda waliokuepo eneo la tukio aliehusika kumkamata na kumfunga pingu ni polisi anaefahamika kwa jina la Asante na wameondoka nae kwenda sehemu ambayo kwa siku ya 3 leo hajulikani alipo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mpushi

    JamiiForums Tanzania Ukerewe: Tuhuma ya utekaji uliofanywa na Askari Polisi

    Kigoma walifanyaje mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mpushi

    JamiiForums Tanzania Ukerewe: Tuhuma ya utekaji uliofanywa na Askari Polisi

    Ni changamoto zinazokuzwa na baadhi ya watumishi wa jeshi la polisi wasio na maadili Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mpushi

    JamiiForums Tanzania Ukerewe: Tuhuma ya utekaji uliofanywa na Askari Polisi

    Shukrani sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mpushi

    JamiiForums Tanzania Ukerewe: Tuhuma ya utekaji uliofanywa na Askari Polisi

    Napenda kutoa taarifa ya tukio la utekaji wa kijana Narsisi Masama wa kijiji cha Galu Ukerewe uliotokea siku ya jana kijijini hapo uliofanywa na Askari wa Jeshi la polisi anaefahamika kwa jina la Asante Simon wa kituo cha polisi Mriti Ukerewe. Askari polisi huyo pamoja na wenzake walitumia gari...
Back
Top Bottom