Recent content by mps

  1. mps

    Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

    Naendelea vzr kbs mkuu
  2. mps

    Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

    Amina mkuu, namshukuru sana Mungu naendelea vzr kbs
  3. mps

    Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

    Ni dawa mchanganyiko za ulcers na antacids za maji na vidonge.
  4. mps

    Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

    Sahihi kbs, kwa level yake na hospital anayofanyia kazi hakuwa na cha ziada
  5. mps

    Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

    Nao ni binadamu kuna wakati wanakosea, tuwasamehe tu.
  6. mps

    Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

    Yes hii inawezekana pia
  7. mps

    Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

    Nimeandika mrejesho hapo. Nilienda Muhimbili kwa Dr Bingwa akapima upya na kuhitimisha kuwa hakuna vielelezo vya shida ya ini.
  8. mps

    Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

    Sikuwa najua hapo kabla kuwa vidonda vya tumbo ni ugonjwa hatari namna hii.
  9. mps

    Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

    Inaweza kuwa 'YES' au 'NO'. Yes kwasababu hospital ya awali haikuwa na Dr wala vifaa vya kuweza kubaini tatizo kwa 100%(walikisia) kutokana na majibu ya vipimo vya damu. No kwa sbb ini linaweza kujipona lenyewe kwa matibabu au hata bila matibabu.
  10. mps

    Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

    Mrejesho. Nilipost humu kuomba ushauri kuhusu hali yangu ya afya baada ya kuambiwa ini langu lina shida. OK ilibidi nirudi Amana na kuomba rufaa ya kwenda Muhimbili kuona na Dr bingwa wa ini. Baada ya kufika Muhimbili nilifanyiwa vipimo vyote muhimu vya awali vya utambuzi wa tatizo kwenye ini...
  11. mps

    Bei za viwanja Singida Manispaa

    Kwa Singida manispaa tafuta kiwanja Gineri kata ya Mandewa ndo Pakishua
  12. mps

    Ushauri wa Bei ya Kununua Nyumba ya Aina hii

    Nzuguni ni Squarter? au umechapia ulitaka kusema Nkuhungu.
  13. mps

    Plot4Sale Nauza kiwanja changu mimi mwenyewe.Nina dharura bei nzuri sana.Hakina Udalali

    Mkamba, Tumaini, Mwaninga, Madege, Sharifu, Lingato, Kichangani, Ngoma mapinduzi, Vumilia ukooni, Mwasonga au Kigogo.
Back
Top Bottom