Recent content by Mpole2019

  1. M

    JamiiForums John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

    Wewe umewadhulumu wangapi? Acha ushetani wako. Na wewe yatakukuta ya kutisha. Acha utani na maisha ya binadamu wenzako.
  2. M

    JamiiForums Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naiweza sana mkuu wangu nami nimeshapoteza laki 4 na nusu bila huruma
  3. M

    JamiiForums Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuhusu app za kufanyia analysis match kabla ya kubet na mbinu za kushinda mkuu wangu
  4. M

    JamiiForums Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndugu zangu naombeni msaada nami niweze kunufaika na hii kazi yetu
  5. M

    JamiiForums Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwangu mikeka yote zimeniacha kapa
  6. M

    JamiiForums Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu hii ni app ipi?
  7. M

    JamiiForums Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndugu hii app inaitwaje nami niipakue? Samahani ndugu yangu
  8. M

    JamiiForums Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nisaidieni nami ndugu zangu nami napenda kucheza mno ila mbinu sina. Pili naombeni mniambie app za kubetia tofauti m-bet, wakabet, meridian Bet. Odd's zinanishinda kuzisoma
Back
Top Bottom