naomba wataalam wetu tusaidiane ktk hili..kuna huu ugonjwa unaitwa kleoid kama sijakosea ila nyie mnaujua zaidi..yaan kuna kuwa na vipele fulani ambavyo ni sugu na wengine huja kuwa ni uvimbe kbs baadae ambao unatokea nyuma kichwa yaan chini ya kisogo..kwa mfano mm vilianza nilipokuwa nimeenda...
Nadhani faida ipo kwa wale wasanii wachache ambao wamefanikiwa lkn kwa wale ambao bdo mambo hayajawanyokea mmmh ni bora wakarudi tuu home!! Lkn hata wakirudi alafu wakakutana na katiba kama hii watakuwa maskini zaidi bora wabakiiiiiii
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.