Recent content by Mpogomi02

  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

    Tutusa kama wewe huwezi kumuelewa Lissu kwa sababu nawe ni mnufaika wa hizo pikipiki za bure. Umezoea vya bure hivyo huwezi kumwelewa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

    Ina maana huko majeshini hakuna wanawake wenye mafunzo ya kumlinda rais hata hapo msikitini tu? Hii ni dharau kubwa kwa wanausalama wa kike
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000

    Treni imegeuka kuwa anasa au?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha kubwa kwa Wana-CCM wa JF kutelekezwa huku Marehemu akiteuliwa!

    Uchawa na ujinga unakusumbua
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumekucha: Mchungaji Msigwa amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi Kanda ya Nyasa

    Ni jambo la kawaida mgombea kuwa na wasiwasi na msimamizi wa uchaguzi hasa kama anao ukaribu na mpinzani wake. Kunywa pombe pamoja ndio rushwa? Nadhani ameonesha tu kutoridhishwa kwake na huo ukaribu. Ni haki yake Msigwa kulalamika na chama kichukue hatua kuondoa hiyo sintofahamu ili mshindi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    Mbona unatapatapa sana. Nyie chawa endeleeni kumchangia mama yenu achukue fomu
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    Kimekuuma nini? Acha wenye moyo safi tumchangie ili hilo lake liwekwe makumbusho
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndugu yangu Freeman Mbowe jiandae, Tundu Lissu anajiandaa kupambana na wewe kwenye nafasi ya Uenyekiti

    Kwani kama ataondolewa kwa kura halali kuna shida gani?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

    Kwani umelazimishwa kuchangia? Acha wenye moyo safi tuchange ili hiyo iwekwe makumbusho wajukuu zetu wajue kuwa tuliwahi kuongozwa na madhalimu wauaji
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aendelea kushambuliwa mitaani kwa kauli zake za kibaguzi na chuki

    Unaaibisha waliokuzaa chawa wewe
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema wameamua kujifunga goli wao wenyewe

    Wazanzibar wenyewe wanaiunga mkono cdm kwenye hoja ya serikali 3. Iwepo Tanganyika na serikali yake ili zanzibar nayo iwe na serikali yenye mamlaka
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awekwe kwenye fedha, tuache wivu na chuki

    Chawa ni chawa tu
Back
Top Bottom