Kwanza niwapongeze familia nzima ya clouds media group wakiongozwa na viongozi wao(RUGE&KUSAGA)kwa kazi nzuri ya kuhabarisha umma.Asilimia kubwa ya watanzania wanawafuatilia vipindi vyenu nimekuwa mdau wenu kwa muda mrefu tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi sasa.
Kitu...
Tangu ulivyokuwa kiongozi ndani ya chama chako nilikuwa nakufatilia sana pamoja na mapungufu ya kibinadamu ambayo wapinzani wako huyatumia kukukosoa kubwa likiwa ni tukio la jaji warioba.Ukiwa katika Bunge maalumu la katiba kuna mambo ya msingi sana uliyashauri ili yawepo kwenye rasimu. Kuna...
Nawaza tu mambo ya somalia,Nigeria,burundi,Uganda na nchi nyingine zenye sifa kama hizo kuna watu wanampinga sana trump na kauli yake ya' Afrika lazima itawaliwe tena'pia nawaza shida yote ya nn nagundua kumbe ni "madaraka tu" baada ya muda tena napata jibu mara baada ya kupita pembeni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.