Recent content by mpk

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo alipojikwaa Magufuli na si kurekebika au kurekebisha

    Serikal Serikali ina machinally za kutosha kujua niliyoandika hapa. Kama haiwezi kujua haya basi unathibitisha ukubwa wa tatizo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo alipojikwaa Magufuli na si kurekebika au kurekebisha

    Nilikuwa kati ya watu wa kwanza kutaadharisha kwamba serikali ya awamu ya 5 haiendi mwelekeo sahihi. Hii ilikuwa ni baada ya kuona awamu hii inatoka kwenye agenda zilizowapa umaarufu kama:- Kutumbua watumishi wazembe na wabadhirifu Rais kufanya usafi mwenyewe mitaani Kupiga marufuku virobba...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanaojaribu kuihusisha Chadema na tukio la Lissu wanasahau kwamba Lissu ameokoka na atakuja kutema miare ya moto!

    Inaonekana Kuna propaganda ilikuwa imepikwa kwa usitadi mkubwa kupigwa Kama Lissu angekufa.Tangu jana zimeanza kuonekana dalili ya kitu gani kingetokea. Wanasahau kwamba jemedari ameokoka kwa mpango wa Mungu na wanasahau kwamba ameanza kutema cheche kule Nairobi. Hiyo ni miale tu, bado...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta: Hospitali aliyolazwa Lissu huko Nairobi kuongezewa ulinzi!

    Kwa kuwa serikali ya Kenya imeonyesha nia njema kuanzia kumshafirisha Lissu na sasa wameimarisha ulinzi wake, sitashangaa kumuona Lissu anakuwa mkimbizi wa kwanza wa kisiasa (naamini sijaropoka) Lissu hawezi kuwa yule yule, Lissu hawezi kuwa salama.Bado tunampenda na naamini atakuja kuiongoza...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Nimeona tweet za mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa nk wakipongeza maamzi hayo nikasema nikushauri uwatumbue. Lipi jipya? Kama kufuta ni jambo la kupongeza hivyo mbona hatukuona tweet za kumpongeza Jecha aliyefuta uchaguzi wa Zanzibar? Uzalendo uko wapi? Wanasema eti mahakama za Kenya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mnaosubiri rais kuwatumbua wakuu hawa wilaya mtasubiri sana!

    Haiwezekani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mnaosubiri rais kuwatumbua wakuu hawa wilaya mtasubiri sana!

    Labda kama si huyu ninayemjua
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mnaosubiri rais kuwatumbua wakuu hawa wilaya mtasubiri sana!

    Kuna mijadara inaendelea kwenye mitandao ya kijamii kwamba wakuu wawili wailaya, mmoja aliyepiga mzazi wa mtoto aliyevunja kioo cha gari na aliyaliyemsweka ndani mwalimu kwa kushindwa kutaja jina la DC watafukuzwa kazi. Hivi mnadhani rais hajazisikia kelele hizi? Hivi mnadhani rais hakumuona...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli 'ataiua' nchi lakini CCM haitasalimika pia!

    Niliyasema haya
  10. M

    JamiiForums Tanzania DW: Mwanamke ajifungua mstarini akisubiri kupiga kura nchini Kenya!

    Wenzetu wako juu
  11. M

    JamiiForums Tanzania DW: Mwanamke ajifungua mstarini akisubiri kupiga kura nchini Kenya!

    Katika hali inayoonyesha wenzetu wanavyojua umuhimu wa kupiga mwanamke mmoja amejifungua akiwa mstarini akisubiri kupiga kura. Mwanamke huyo Polina Chamanen'g alikimbizwa zahanati ya karibu kupewa huduma na akarejea name kichanga na kupiga kura baada ya kusisitiza lazima arudi kupiga kura yake
  12. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza akosoa kauli ya 'Aliyepewa mimba asirudi', ahoji makosa ya viongozi yangekuwa mimba, wangekuwa na ngapi?

    Taratiiiiiiibu viongozi wa dini wanaishiwa na uvumilivu, hata hivyo naona walichelewa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni wanahabari kutuzimia maigizo ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam

    Yeye alitengwa kwa sababu zipi? kwa uchapa kazi wake?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni wanahabari kutuzimia maigizo ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam

    Ameamua kufanya kazi ya Dr Mwakyembe
  15. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni wanahabari kutuzimia maigizo ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam

    Kama tv gani kama si TBCCM
Back
Top Bottom