Ukweli ni kwamba, kabla mtoto hajazaliwa huwa ana pata chakula na oxygen toka kwa mama yake kupitia placenta. Anapozaliwa na kutoka ktk uterus ya mama yake humaniisha kwamba sasa anaanza kujitegemea ktk hilo. Hiv pind mtoto anapotoka tumboni mwa mam yake mapafu hutanuka ghafla ili kuweza kupokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.