Recent content by mpesamoses

  1. mpesamoses

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje mapenzi yakikuzingua?

    Mapenzi ni hisia hakuna atakaye kupa jibu lakukutosheleza lakin inabidi ujichunguze mwenyew na ujue itakuumiza kiasi gan kama mtaachana na ukipat jibu amua kimya kimya mamb madogo hayo usifuate ushauri wa madomo zege watakuambia mpige chini kumbe mambo yanasolvika hayo.
  2. mpesamoses

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa kumuelimisha Mwanamke hasa katika Jamii ya Afrika

    Ukweli ni kwamba kwa umuhimu wa elimu hakuna shaka kusema ndio kiungo kikubwa kwenye maisha ya binadamu kwasababu hiyo ili jamii iwe ni jamii kamili na yenye usawa na lazima kuwaelimisha wanawake ambao wao ni kiunganishi kikubwa kwa zaidi ya asilimia sabini kwanini nasema hivyo Kwa takwimu ya...
Back
Top Bottom