Kadhalika deni lolote likifika kiasi fulani, au chombo kilichokukpesha kikali'classify' kama bad debt, It is Ok to negotiate how much you are willing to service. Doing this does not mean dictating.Ni taratibu za kifedha tu!
Binafsi sijasoma article inayozunguzia suala zima la mikopo ya Bwana Mbowe. Lakini sioni kosa kwa mtanzania yeyote kukopa kutoka kwenye vyombo vyetu vya kifedha. Isitoshe hayo ndio maendeleo yenyewe. Hususan, watanzania watakapojua umuhimu wa kutumia rasilimali walizo nazo kama rehani dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.