Recent content by mpendaye

  1. mpendaye

    Waziri Mkuu amemsimamisha kazi Naibu Kamishna wa Uhamiaji Makao Makuu

    Kirefu cha "PCO" ni Passport Control Officer
  2. mpendaye

    Dk. Slaa, Prof. Lipumba waige demokrasia ya Marekani (watch it))

    NYONGEZA: Kama baadhi yao wamekuwa vinyeviti kwa muda mrefu hadi sasa je hakuna wanachama wengine wanaoweza kuchanguliwa kuwa wenyeviti? Yawezekana labda vyama hivyo havina "resource persons" wengi wenye sifa za kuwa nafasi za kugombea Urais au kuchaguliwa kuwa wenyeviti, ndiyo maana kila...
  3. mpendaye

    Kipaumbele cha Magufuli ni Ilani ya CCM

    Hapo umesema vizuri. Ilani safi ikiwepo na akawepo msimamizi imara basi maendeleo yatapatiakana. Ilani ni mwongozo wa mambo yanayopaswa kufanywa na kusimamiwa na kiongozi aliyepewa dhamana. Siyo kiongozi kukurupuka na yake kila anapoamka. Ilani inatokana na tafiti iliyokusanya maoni ya wananchi...
  4. mpendaye

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Pofesa Muhongo, kimsingi ana hoja muhimu hapo. PAC na CAG vinapaswa kuwa makini. Mtafiti mara zote kabla ya kufanya utafiti anapaswa kuwa na mabunio lakini siyo taarifa halisi ya utafiti na pia kutolazimisha mabunio kuwa ukweli wa katika taarifa ya utafiti, anaweza kupotosha wasomaji...
  5. mpendaye

  6. mpendaye

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja

    Zitto Kamwe atabakia kuwa Kingozi imara na makini, hilo ni kosa kubwa sana kwa CHADEMA na itajutia maamuzi yaliyofanywa na tusubiri matokeo yake. Hapo hakuna ujanja maji yamemwagika kwenye mchanga tayari
  7. mpendaye

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja

    Viongozi wa CHADEMA kuweni makini na maamuzi yenu. Kumwondoa mtu (Kiongozi) mdarakani ni moja ya dalili za kushindwa uongozi kwa ujumla wake. Chukueni hatua stahiki za kuzuia migogoro na kujenga uadilifu ndani ya chama na siyo kuweka mianya ya kujitokeza migogoro na kuchukua hatua za...
  8. mpendaye

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja

    Viongozi wa CHADEMA kuweni makini na maamuzi yenu. Kumwondoa mtu (Kiongozi) mdarakani ni moja ya dalili za kushindwa uongozi kwa ujumla wake. Chukueni hatua stahiki za kuzuia migogoro na kujenga uadilifu ndani ya chama na siyo kuweka mianya ya kujitokeza migogoro na kuchukua hatua za kuwaondoa...
Back
Top Bottom