Nimekuelewa sana hoja yako, hivi tujiulize ni mambo gani amekurupuka na ni mangapi hajatumia busara?
Katika kipindi cha nyuma watu walilaumu sana viongozi kusita/kuchelewa kuchukua maamzi, pia suala la kuogopana na kulindana lil kuwa kikwazo cha maendeleo, Saizi imekuwa kinyume chake lkn bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.