Umenifurahisha sana Mr. Mark kwani umeuma kokote
CCM - wapuuzi
CDM - masela
Hivi ndio vyama tunavyovitegemea viisimamie serikali kutuletea maendeleo. CCM na CDM oyeeeeee!!!????
Katika hili linalojadiliwa hapa mimi naungana na muanzisha mada CHADEMA itabidi igharimike kulitolea ufafanuzi. Sina ushahidi wa moja kwa moja wa kiongozi yeyote wa CHADEMA kwamba alitoa kauli ya kwamba hamtambui Rais, lakini uelewa wa walio wengi ni kwamba CHADEMA walitoka nje ya Bunge kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.