Recent content by mpendachake

  1. M

    Kero! Kero! Kero,Tanesco

    Salaam kwenu nyote Jf, Kiufupi hii ni kero kutokana na shirika hili la umeme kukata kata umeme takribani ni mwezi huu kuanzia SAA 3 asubuhi hadi saa 12 jioni huku Makambako mkoani Njombe sijui huko kwenu wadau hali ikoje. Asanteni
  2. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asanteni kwani sasa nimeijua Isuzu bighon kazi kwangu kuoption
  3. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari za humu jamii forum naombeni msaada ya kuijua kiundani gari aina hii ya bighon seat capacity ukubwa wa engine bei yake yard kwa sasa inasifa gani kwa ujumla yaani positive na negative effects natanguliza shukurani zangu asanteni
  4. M

    Nahitaji Noah

    Noah ya aina gain?
  5. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Salama humu JamiiForums, nahitaji kujua sifa za hizi aina ya Toyota kluger bei na ulaji wa mafuta na seat zake yaani uwezo wa kubeba watu (seating capacity) natanguliza shukrani. Asanteni
  6. M

    Ukiacha huduma za maji, soda na biskuti, kipi kiongezwe katika mabasi ya Mikoani?

    Mimi nadhani michezo ikiwemo solo na drafting games
  7. M

    Azam TV na marudio sinema zetu

    Azam tv binafsi nimehama hawana jipya
  8. M

    Nauza simu aina ya Gowin M8

    Ni simu ambayo ipo katika hali nzuri bei 200000 mahali Makambako Mkoani Njombe. Kwa anaehitaji, 0752048709. Karibuni
  9. M

    Vitz Rs inauzwa 4.5M

    Mm niko makambako cjawahi kuiona hii gari niko mjimwema sema 3.5 nikupe mkuu
  10. M

    Scania bus and Isuzu for sale

    Kwa nini unaziuza hizo ngoma
  11. M

    Gowin M8 for sale

    Anaehitaji smartphone tajwa hapo juu naiuza kwa bei ya 150000 tu haina tatizo lolote sababu ya kuuza ninamsomesha mdogo wangu wa primary sasa nahitaji niiuze ili iweze kumsaidia na ipo katika hali nzuri kabisa karibuni nipo makambako Njombe 0752048709 nichek whatsap
  12. M

    Vitz inauzwa

    Jiamini kwa kuweka picha
  13. M

    Je, TRA ya Iringa, huu ni uungwana?

    Si hilo tu ukikamilisha usajili mpya gharama ya kibao au plate yenye number wao hawahusiki wakidai wapo mawakala na ni kwa gharama yako ambayo ni 25000 hadi 20000
Back
Top Bottom