Ni wahuni sana kama wangetaka kusaidia wanufaika wangefuta vrf kabisa hawa watu wa loan board sio wazalendo kabisa furaha yao ni kuona wanufaika wakiteseka,charges ambazo ni vrf na penalty zilifutwa lakini wenyewe bado wanazitoza hii sio haki kabisa,na haya yanafanyika Mkurugenzi wa loan board...
Hawa watu wa loan board ni wajanja sana vrf walikuwa nayo kwenye data base yao wala haikuwa kwenye salary slip sasa kwanin hawataki kuiondosha?at vrf before 1 may 2021 ,Pia nasikia wao walisomeshwa na bodi lakin bod haiwadai
Lakin kwanin bodi ya mikopo wanajikanganya?vrf iliwagusa wote hata ambao walimaliza chuo kabla ya 2016 sasa iweje baada ya Mh Raisi kuagiza ifutwe watu wa loan board wamebuni sheria zao kwamba vrf before 1 May 2021 sasa kwa nin wasiifute kama walivyoweka vrf hata ambao ilikuwa haiwahusu ?ukiulza...
Nawashauri crdb na nmb waanze utekelezaji wa hilo jambo as soon as possible maana sasa hivi watu wanakopa kwa wingi hasa hasa watumishi waliopandishwa vyeo
Kushusha riba hakuitaj bajeti,hilo ni agizo la BOT na mabenk yote yanakopeshwa na BOT kwa riba ndogo hivyo wanatakiwa wapunguze kama walivyoelekezwa na BOT
Naona bank kama crdb na nmb bado wanatoza riba za awali ambazo ni 17% sasa sijui wanakwama wapi? na maelekezo yameishapitishwa tangu tarehe 27 july 2021 ,gavana wa bot,na Waziri wa fedha waingilie kati hili jambo aisee bank zinaumiza sana riba zao sio rafiki kwa wateja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.