Recent content by Mpapai pori

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali msiwasahau wataalam wa mafuta na gesi bali waendelezeni

    Umenena vema mkuu wanaweza pia kutafutiwa nafasi kwenye nchi zenye utaalam wa mafuta na gesi ili kuongeza ujuzi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya Rais Magufuli ni kiama cha machinga

    Elfu 20 ni hela ndogo kama mtu yuko serious
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kangi Lugola; Ondoa siasa kuruhusu safari za usiku jiulize tena

    Sababu za ajali zipo nyingi lakini kuna sababu kubwa mbili hazitiliwi maanani.Kwanza madereva wa safari ndefu hawapati mda wa kupumzika mfano mtu anaendesha gari toka saa kumi na mbili alfajiri hadi sasa nne au sita usiku.Mda wa usiku madereva wengi wanasinzia wakati aliye pembeni ya dereva japo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya ajabu!, Badala ya wanawake kutongozwa, ni Wanaume!, wanawake wanaotongozeka kirahisi ni malaya, Je, hawa wa'ume tuwawaiteje?

    Neno Malaya sio tusi ila ni tabia ya watu wenye hulka ya kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja sasa pascal unavyojibana bana kuandika neno hilo utadhani unaandika matusi
Back
Top Bottom