Recent content by MPANGO WA MUNGU

  1. M

    Zitto Kabwe, uwezo wako wa kisiasa katu hautakwisha kwa kuenguliwa, taifa linakuhitaji

    Umenena vema mkuu japo najua wazee wa viroba watakushukia kama mwewe
  2. M

    Dr. Limbu,Mbatia,Cheyo wamtaja Mwigulu kuwa Rais ajaye,Wamuonya asiwaangushe

    Watanzania kamwe hatutasahau uadirifu uliotukuka wa sokoine11 kwa Taifa lake na kwakuwa Chandra chema huvikwa Pete bash nasi hatuna budi kuvisha Pete hiki Chandra chema Mwigulu Nchemba mrithi sahihi wa JK
  3. M

    Dr. Limbu,Mbatia,Cheyo wamtaja Mwigulu kuwa Rais ajaye,Wamuonya asiwaangushe

    Mwigulu ni naibu Katibu mkuu wa Ccm bara kwamaana hiyo an a link na wana Ccm moja kwa moja na ndio maana kila iitwapo Leo wanamualika mikoani kufanya mikutano ya kisiasa ukiacha mikutano ambayo anajitolea yy binafsi kuifanya nchi nzima.Au unazungumzia mahusiano ya kutoa rushes kwa wanaccm?aaaah...
  4. M

    Dr. Limbu,Mbatia,Cheyo wamtaja Mwigulu kuwa Rais ajaye,Wamuonya asiwaangushe

    Mpaka sasa anafanya kazi kama waziri kamili ndio maana mh sada huwa hana wasiwasi hata asipokuwepo nchini anajua Mwigulu atamwakilisha vema sasa sijui unataka utendaji UPI zaidi ya huh wakuzuia mishahara hewa,kukamata wakwepa kodi,kupandisha pato LA Taifa kupitia makusanyo ya modi na mengine...
  5. M

    Dr. Limbu,Mbatia,Cheyo wamtaja Mwigulu kuwa Rais ajaye,Wamuonya asiwaangushe

    Mwigulu ndiye rais aliyependekezwa na watanzania walio wengi had I wapinzani wanamkubali.
  6. M

    Dr. Limbu,Mbatia,Cheyo wamtaja Mwigulu kuwa Rais ajaye,Wamuonya asiwaangushe

    Tupe ushahidi kuwa ni muuaji sio kubwabwaja kama mbwa aliyepaliwa na pilipili
  7. M

    Siri zavuja Nyalandu na urais, rais na baraza la Mawaziri, Mwigulu Mwiba

    Ikulu sio hospitali au wodi la wagonjwa ni mahali pa kazi panahitaji kijana shupavu kama Mwigulu sokoine 11
  8. M

    Siri zavuja Nyalandu na urais, rais na baraza la Mawaziri, Mwigulu Mwiba

    Yote katika yote Mwigulu ndiye mpango wa Mungu kwa Taifa letu
  9. M

    Kumekucha!, hatimae Mwigulu amesalimu amri Babati leo

    MWIGULU ni kijana muadirifu weredi wake hauna shaka na umetukuka kwa watanzania.Ni aina ya viongozi Nyerere alikua anawahitaji.Tanzania sasa imepata mtetezi .
  10. M

    Kumekucha!, hatimae Mwigulu amesalimu amri Babati leo

    Lete ushahidi sio kukurupuka Mwigulu ni field marshall wa kisiasa nyambizi wa kisiasa na ana mvuto wa kipekee kwa watanzania ndio maana tunataka awe Rais wetu 2015.hizo propaganda zenu hazitawasaidia hizi si mbio za sakafuni.mkuu.
  11. M

    Picha,Mwigulu aiteka Mwanza hii leo, Wananchi Wamesema hawatarudia makosa 2015

    Content zipi unazozizungumzia zaidi ya weredi wake ulio dhahiri machoni pa watanzania. T2015MWIGULU
  12. M

    Picha,Mwigulu aiteka Mwanza hii leo, Wananchi Wamesema hawatarudia makosa 2015

    Mkuu huoni nyomi hiyo?watanzania ndio wenye mapenzi motomoto kwa ccm na field marshall MWIGULU ndio maana wanajitokeza kwa wingi kama uonavyo hapo
  13. M

    Picha,Mwigulu aiteka Mwanza hii leo, Wananchi Wamesema hawatarudia makosa 2015

    Duh ni hivi majuzzi tu alikua mwanza na akapata nyomi yakutosha leo tena mwanza kapata nyomi ya ajabu.eeh Mungu endelea kufungua milango kwa mtanzania huyu mzalendo kipenz cha wengi.
  14. M

    Mafisadi wa Richmond na IPTL sasa yalia na Mwigulu Nchemba

    soma vizuri mkuu mbona mimi nimesoma na nimeelewa ,suala sio kumuondoa suala ni kwamba Mwigulu hajawahi shiriki ubadhirifu wa aina yeyote ni ant-corruption and embazzlement of public fund ni kijana safiiiiiiiii,kiongozi muadirifu
Back
Top Bottom