Recent content by Mpangaji OG

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto kubwa kwa Wanafunzi wa Masters IAA: Matokeo, Appeals na Dissertation

    Mtu umedisco halafu unaleta uongo huku, we ulidhani elimu ya Master ni lele mama. Husomi unataka alama za mezani kwa nn usi disco. Mm mwenyew ni mwanafunzi wa master hapo IAA, watu zaidi ya 50 wamedisco kwa sababu ya mtu kuwa na supp zaidi ya nusu ya masomo. Nahisi na wew mleta mada upo kwenye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Halafu kodi wanalipa sh ngap
  3. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

    Sababu kubwa ni udini, wakathoriki hawaamini tena, mchana ccm usiku wanaunga mkono waraka wao feki
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwisho wake ni nini. Maana CCM na vyama vingine vinasema tuanaendelea na uchaguzi CHADEMA pekee inasema no reform no election

    Kumbe hujui nyuma ya chadema yapo makundi mbalimbali yenye nguvu za ushawishi, kama taasisi za dini na jumuiya mbalimbali za ndani na za kimataifa. Kitu ambacho hukijui uchaguz huu Waromani na baadhi ya madhehebu ya kikristo wakikomaa peke yao wanaweza kufanya uchaguzi usifanyike, wanaweza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utabiri; Uchaguzi hautafanyika Oktoba, sababu kuu ni hizi

    Yetu macho, ngoja tuone, hata waraka uliotolewa ni wa kuutilia mashaka ,inawezekana ni wao, isipokuwa wanaukana kwa sababu inawezekana umetolewa muda usio muafaka
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utabiri; Uchaguzi hautafanyika Oktoba, sababu kuu ni hizi

    Unabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi, 1. Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini. 2. Kanisa la...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tuwe makini, huku kuhama Chama kila wilaya kunakoendelea nadhani kuna mkono wa CCM

    Usiseme unadhani, ndio ilivyo , kuna pesa ndefu imetengwa
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwisho wake ni nini. Maana CCM na vyama vingine vinasema tuanaendelea na uchaguzi CHADEMA pekee inasema no reform no election

    Unabii ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi, 1.Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini. 2. Kanisa la Lutheran...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Nimepata taarifa kuwa kuna mpango wa kunikamata wakati wowote kuanzia sasa

    Unabii ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi, 1.Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini. 2. Kanisa la Lutheran...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

    Muhamad alikuwa mhuni tu ,alikuwa anafanya biashara, baada ya mtaji lumuishia kwa kuhonga vitotozi akaja na plan B, ya kujifanya mhubiri . Ila ukweli kwa kiswahili cha kileo tunasema alikuwa amefuria
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Arumeru Magharibi azomewa msibani, asema wananchi wasitake laana kwa kumzomea kiongozi!

    Mi zamani nilijuaga wanao toa laana ni wazazi tu kumbe hadi viongozi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuzungumza na Taifa Ijumaa, Januari 10, 2025

    Sasa zimefika 60 wakati mlisema Lisu akifikisha kura 20 ni mwanaume, Niwaambie tu ukweli Lisu mpaka tatehe 21 matokeo yatakuwa Lisu 80% Mbowe 15% na 5% ya wajumbe wataharibu kura
  13. M

  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

    M7 hahitajiki kwa sasa, amekuwa corupt, wanashindwa kumtaja kwa sababu ya kumtumzia heshima.ila ukweli coruption imemwalibia, ameingia kwenye mtego wa Abdul baada ya kufanikiwa kuruka mitego hiyo kwa miaka mingi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampendekeza Profesa Janabi kuwa Mkurugenzi wa WHO-Afrika

    Kwani yeye mwenyewe si daktari, kwa nini asijipendekeze aende mwenyewe kwenye nafasi hyo halafu hii awaachie wengine
Back
Top Bottom