Recent content by MPAMBWE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mzaha mzaha hutumbua usaha CCM

    Wanadhihaki wee matokeo yake siku hadi siku wanaendelea kufa wao na huyo wanaye mwita mgonjwa anazidi kuchanja mbuga!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa DP - Mch. Christopher Mtikila

    Nenda tu naunafiki wako, Lowassa uliyekuwa cku zote unamhubiri kuwa ni mgonjwa bado ana dunda!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa speed ya CCM; Mlima Kilimanjaro ungefaa kuweka kwenye ndege ungebaki?

    Chezea dalali Kikwete wewe!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Kwa kumtusi tu Lowassa alipoteza heshima yake kbs kwa jamii, japo kuwa najua kura yake ingekuwa kwa magamba lkn Mungu amsamehe uovu wake!
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Waziri Membe amefiwa na kaka yake mkubwa

    Marehem na JK nani mkubwa???
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM imekufa mikononi mwa wanaCCM

    Naife 2,hakuna namna!!!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wazo kuu la leo tarehe 1 Oktoba, 2015

    Ipiteeeeeeeeee!!!!!!!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania NEC marufuku kubeba kura na mabox kwenda Halmashauri

    Lubuva,Mungu akubariki na kukulinda!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Mimi na wote wanaonizunguka kura zetu ni kwa Lowassa tu!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Episode I: Agano-Lowassa Lazima awe Rais, Ndio mkakati tangu 95

    Magamba yalivyonikinai!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    Si kila roho ijayo imetokea mbinguni, ziko na roho nyingine zimetokea kuzimu,Mtikila uchungaji wake kapewa na shetani sio Mungu!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mama Magreth Sitta kukuunga mkono ni lazima?

    Kwa kweli niajabu sn kwa mwanasiasa mkongwe kama Magreth Sitta kufanya siasa za kinyesi kwa kiasi hiki yaani huyu mama badala ya kushawishi watu wa muunge mkono amekuwa anatumia nguvu nyingi kuwa kawanyanyasa watu wote wasio muunga mkono mfano mdogo hapa Urambo kuna saluni moja vijana wanaofanya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Awamu ya kwanza ya Kampeni CCM kama PDP, UKAWA kama APC ya Nigeria

    Wanafanana na mfalme Belshaza,ambaye aliambiwa ujumbe kwa kupitia kiganja cha mkono kilichoandika ukutani mene mene tekeli na peresi yaani ufalme wako umepimwa na kisha umefika mwisho, haleluya Mungu wa Ibrahim shuka utukomboe watz kwa maana wakati uliokubalika ni sasa,watu wote wenye mapenzi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Anayebisha Ukawa hawatachukua nchi angalia hizi video mpaka mwisho

    Ila mama yako ameahidi hivyohivyo alivyo atampa tu!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu yupo bado na CHADEMA?

    Hapata kuwepo mtu yeyote atakaye simama mbele ya Lowassa cku zote za maisha yake, kama Mungu alivyokuwa pamoja na Mussa ndivyo atakavyokuwa pamoja naye!!
Back
Top Bottom