Recent content by mpaluka

  1. M

    Zitto Kabwe: Nini kifanyike Tanzania?

    Tatizo la kwanza kubwa la wanasiasa wa Tanzania ni kujaliwa unafiki uliopitiliza ,Rais alipokuwa jimboni kwako ulitamka mbele ya umati wa watu wa Kigoma kuwa "wananchi wa Kigoma wanataka maendeleo na wewe Mhe Rais unawaletea maendeleo" .Kwa macho yako mwenyewe umeona maendeleo na kwa kinywa...
  2. M

    Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    Utaratibu wa maandamano unajulikana nchini, ili uandamane unahitaji kibali cha Polisi, pili Maandamano hayajawahi kufanyika baada ya saa 12 jioni, ndio maana hata mikutano ya vyama vya siasa mwisho wake ni saa 12 jioni. Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa Freeman Mbowe aliwahamasisha wafuasi wa...
  3. M

    Kwanini Rais Magufuli lazima aombewe ....

    ni kweli kabisa hatuna budi kumtanguliza Mungu katika kila jambo hususani hili la kiongozi wa taifa
Back
Top Bottom