tatizo hamjui Siri za Ulimwengu, hekalu la Suleiman halikuwa hapo, mlidanganywa , hapo kwenye msikiti wa al Aqsa lilijengwa hekalu la mungu anaye itwa Jupiter (temple of Jupiter), na alama ya mungu anaye itwa jupiter ni mwezi, crescent [emoji287] moon, Kwa jinsi unavyo waona Wayahudi unadhani...