Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa maswali ya written exam wa Tume ya Madini kitengo cha Technician II (ELECTRICAL) anisadie maana interview za utumishi inasemekana unaweza kuulizwa vitu hata ambavyo havihusiani na fani yako.
Wewe ulikua unafanya kazi katika Airport ipi?.. Hapa Dar es salam au mkoa mwingine..? Na mkataba wako ni zile za Temporary Employment Opportunity....?.
Lakini pia TAA walifanyisha usaili wa hizo kazi za mkataba mwezi Wa 2 na watu waliofaulu usaili wameshachagulia na wataripoti kazini mwezi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.