Itakuwa safi sana maana gharama zimekuwa ni nyingi sana kila kitu unalipia mwisho wa siku tutaambiwa hata kutembea tulipie hatua [emoji16] [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki zipi nimeiba, Movie tunazonunua zinauzwa na wahusika wenyewe kwenye site zao ili nao wapate pesa. Sasa ulitaka tupande ndege tuzifuate hizo movie huko walipo? Hiyo siku ya kuja ofisin nambie nikuelekeze ili usihangaike lakin uje unambie hizo hakimiliki nilizoiba ni zipi na hiyo kodi ambayo...
Season 7 ina Episod 7 na bei yetu ya kawaida ni 2000 kwa kila Episode moja ila kwasab unachukua Season ya saba yote Tutakuuzia kwa Tsh.10,000 badala ya Tsh.14,000.. karibu sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.