Recent content by Mourine Abel

  1. M

    JamiiForums Tanzania Help me please.

    Thx, pia hospital amejaribu kwenda tena sehemu mbalimbal na madaktar wote aliojarbu kuwaona wanamwambia ni tatzo la hormone imbalance hvyo atumie dawa za majira miez mitatu, alijarbu kufanya hvyo na kwel alpata siku zake mwez mmoja tu baada ya hapo hakuna tena, ngoja tuendelee kuwaona madaktar...
  2. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA WATAALAM WA AFYA, Mpenzi wangu anateseka!,

    Tuendelee kusubiri Bwanga wataalamu wamalize mgomo, nawe pole
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni

    Thx Globu, hsp amekwenda sana na kote alikokwenda aliambia ni homon hazijabalance hvyo atumie dawa za majira kwa miez mitatu na akafanya hvyo,ni kwel alvomaliza alipata siku zake mwez mmoja tu tangu hapo hakuna tena.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni

    Anaejua dawa ya tatzo hli,kukoma kwa hedhi. Dada yangu ana mwaka wa pili sasa haijui hedhi,ilikata tu yenyewe, hajazaa wala hajawah kutumia uzaz wa mpango.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Help me please.

    Anaejua dawa ya kurudisha hedhi, ni takribani miaka miwili dada yangu hajapata hedhi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Please Don't Do This

    Dah! Wengine twatafuta hao watoto wengne watupa watoto. inauma sana jaman
Back
Top Bottom