Recent content by moudgulf

  1. moudgulf

    JamiiForums Tanzania Mwamba kazeeka vibaya

    Siyo uzee Ni maradhi tu hayo🙄
  2. moudgulf

    JamiiForums Tanzania Tarehe 14/10/2026 Tunamkumbuka Nyerere

    Nyerere aendelee kupumzika kwa amani
  3. moudgulf

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Manara na Yanga yafikia patamu, Manara aahidi kumwaga mboga iwapo Yanga wakimgusa kwenye press yao

    Manara ameamua kuwakera tu. Hana zaidi ya hicho, ogopa sana mtu anayefanya jambo kwa maslahi yake
  4. moudgulf

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Manara na Yanga yafikia patamu, Manara aahidi kumwaga mboga iwapo Yanga wakimgusa kwenye press yao

    Kauli ya msemaji ndiyo kauli ya klabu. Msemaji amesema Manara ni kirusi na joka waliloishi nalo bila kujua.
  5. moudgulf

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kuishi na mwanamke mwenye akili kama hizi

    Una hoja.. Ndoa ni njia ya kuzimu
  6. moudgulf

    JamiiForums Tanzania Simba SC kucheza Mechi zote za CAF na 15 De Agosto Uwanja wa Uhuru

    Yanga ifanye maandalizi ya kuwapokea hao wageni iwatufutie mahali pa kuwahifadhi kama ilivyo kawaida yao. Sisi tutawasubiri Uhuru
  7. moudgulf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana Apoteza Mguu Baada ya Kudaiwa Kupigwa na Mwalimu Ruai

    Asee. Mwalimu keshaingia kwenye majaribu. Sijui sheria za Kenya zinasemaje kuhusu hilo.
  8. moudgulf

    JamiiForums Tanzania Nyumba 3 zinauzwa 100m kimara

    Hiki kinachoitwa Service charge kinaharibu biashara yako. Hizi biashara wakipewa madalali wanaziharibu
  9. moudgulf

    JamiiForums Tanzania Kama utani vile POLEPOLE NA NCHIMBI wamesahaulika kwenye jamii

    Siasa siyo nzuri sana. Tufanye kazi zetu tulizosomea achaneni na siasa.
  10. moudgulf

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kuishi na mwanamke mwenye akili kama hizi

    Wanaopinga ndoa wasikilizwe, wana hoja.
  11. moudgulf

    JamiiForums Tanzania Jamani mbona tumekuwa wakatili hivi?

    Hatuko salama 😇 Lolote laweza kukupata, kila mmoja achukue tahadhari.
  12. moudgulf

    JamiiForums Tanzania Jamani mbona tumekuwa wakatili hivi?

    Tumefika mahali pabaya sana. Mtoto kama huyu ana kosa gani?
  13. moudgulf

    JamiiForums Tanzania Orodha ya matajiri wa Tanzania ambao licha ya utajiri wao lakini wamechagua maisha ya faragha

    Jijini Dar es salaam miaka ya 70- 80 kulikuwa na tajiri mmoja aliitwa Mwinjuma Bwato Uwesu. Mabasi yake yaliitwa Mfamao.   Amefaariki kwa ajali, lakini ameacha mabasi zaidi ya 8 yanayofanyakazi kwa ufanisi. Lakini mwanawe ameshindwa kuendesha kampuni hiyo ingawa babake katika uhai wake...
  14. moudgulf

    JamiiForums Tanzania Waislamu wa sasa vitu 2 tunafeli sana

    Kwa mfano mtu kama Bakhressa, amejenga misikiti mingi na bado anaendelea kujenga, anasaidia jamii iliyomzunguka, analipa zaka nk. Ikiwa ametekeleza yote yanayo mpendeza Mwenyezi Mungu sasa anapoanzisha timu ya mpira ili kufurahisha nafsi yake kuna shida?
Back
Top Bottom