Recent content by motivator

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    lulu hana hatia ya kuua, hakukusudia na alikimbia kwa uoga wa kawaida wa kibinadamu cause ataingekua mimi ningekimbia. hatumhukumu kwa kuua maana hata nikimfikiria sidhani hata kama anaakili za kuwaza kumuua mtu, ila atakua amepata fundisho kubwa sana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    baba yake hakufika, na marehemu hakumtukan he jst said the reality, ambayo inauma lakini ilibidi baba mtu aambiwe maana wazazi huwa wanajitokeza baada ya kuona kuna fedha kwa mtoto. ameifundisha jamii. kwa kumuweka hadharani dingi yake itasaidia wazazi wengine kuwapenda na kuwajali watoto wao no...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    i saw the interview myself, salama i asked her"una boyfriend kwa sasa"? she replied & i quote"sina boyfriend na wala sijafikiria kwa sasa". I saw it live
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu azimia msibani kwa Kanumba!

    me natamani huyu binti apate fundisho kama alilopata huyo aliyekua selo! anaboa sana. & i wish media wangempotezea ili tumsahau, kwani hakuna ya kuandika than wema sepetu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Heshima za mwisho na mazishi ya Kanumba!

    yaani wewe unapoishia kushangaa mi ndio naanzia hapo! yaani sielewi watu wote hao hawana kazi? a part from actors & actresses, musicians, and politicians, watu wote hao hawana kazi au wajasiriamali? hawana mabosi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Heshima za mwisho na mazishi ya Kanumba!

    now ni adult, after all he'was not the first, the ugly thing's mtoto mwenyewe wamemlea wenyewe yaani wamekula kuku na mayai yake! anyway RIP the Great
Back
Top Bottom