Recent content by Mosses Anney

  1. Mosses Anney

    Tunauza miche ya Papai za kisasa za muda mfupi

    Hapana mkuu hizo ndo bei yake
  2. Mosses Anney

    Tunauza miche ya Papai za kisasa za muda mfupi

    Inakuwa na mbegu 70/80
  3. Mosses Anney

    Tunauza miche ya Papai za kisasa za muda mfupi

    Papai za Kisasa za mda mfupi Kilimanjaro Tunauza miche ya papai (Malkia F1). Hii ni mipapai ya kisasa toka Taiwan. Mipapai hii uweka matunda ikiwa na urefu usiozidi mita moja toka ardhini. Kila mpapai ubeba matunda yasiyopungua 85, mpaka 110. Mapapai haya nyama yake ni nyekundu na ni matamu...
  4. Mosses Anney

    Jipatie mbegu ya papai za kisasa (malkia F1)

    Jamani hayo nimakisio ya juu kabisa, Nafikiri ni vema kwaanayeweza kulima akailima maana hata kama hutapata hiyo milioni 100 unaweza kupata angalau milion arubaini ambapo bado ni faida kubwa tatizo tumekuwa watu wakuwa mtandaoni sana bila kuingia field tujaribu kuwekeza na kufanya utafiti...
  5. Mosses Anney

    Jipatie mbegu ya papai za kisasa (malkia F1)

    Papai hizi ni papai za mda mfupi miezi sita tu unavuna, papai hizi ni tamu na nyekundu ndani ina zaa mpaka papai 105, Soko lake ni kubwa sanaa, Eka moja inauwezo wakukupa mpaka milion 100. Tufanye hesabu kidogo: 1 acre =1000/1200 miche ya papai kila mti wa mpapai unazaa 105 kila papai ni Tsh...
Back
Top Bottom