Recent content by Mossads

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wacharuka kuhusu serikali kutaka kukata mafao yao

    Wabunge walipitisha kifungu cha sheria ya mifuko ya jamii kuzuia wafanyakazi kupata fao la kujitoa kutoka kwenye mifuko ya hifadhi za jamii. Kwamba kijana mwenye umri wa miaka 20 ambaye mkataba wake wa kazi umeisha au ameacha kazi au amefukuzwa kazi basi haruhusiwi kuchukua fao lake la...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDOM kufukuzwa: Chanzo cha mgogoro na Serikali inavyohusika

    Fuatilieni hizi taarifa harafu unganisha na taarifa ya Waziri bungeni. Kuna kitu hakijawa wazi:
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDOM kufukuzwa: Chanzo cha mgogoro na Serikali inavyohusika

    Someni taarifa ya wafanyakazi udom kuhusu mgogoro wa diploma. =========================== TANZANIA HIGHER LEARNING INSTITUTIONS TRADE UNION, UDOM BRANCH-OFFICE OF THE CHAIRMAN MAELEZO YA KINA KUHUSU UFUNDISHAJI WA DIPLOMA YA SAYANSI, HESABU NA TEHAMA 1. Utangulizi Kuanzia Novemba 2014, Chuo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hoja ya dharura wanachuo 7,000 UDOM: N/Spika aahirisha Bunge baada ya wabunge kwa pamoja kutoka nje

    Someni ripot ya chama cha walim udom
Back
Top Bottom