Hizi ni bulbs zenye uwezo wa kujizima zenyewe pindi panapokuwa hakuna mtu katika eneo hilo.
Taa itawaka tu kama kuna movement yoyote ya Mtu, kama hakuna movement ya mtu Taa itazima.
Pia taa hii inawaka usiku tu pindi ikiona giza Ila ikiwa mchana au kukipambazuka itazima automatically.
Taa...
Tutaona mengi na makubwa mwaka huu, ila hii ni kujivua nguo kwa nchi impact yake ni kubwa sanaa. Hivi nawaza tu ikitokea upinzani wote ukafunguliwa kesi na kushitakiwa itakuwaje???
Ningeshauri hizo audio za nape zenye matusi makubwa zipelekwe na ukawa kipindi wakifanya mikutano yao huko kwenye jimbo analogombea nape, ili wananchi wamjue vyema. Hilo litakuwa funga mji
Acha uongo wako, na usihusishe mambo yakupoteza maisha ya watu na siasa, watu wameuwawa na wewe unaongeea mambo ya vyama. issue ni ya kweli na mpaka sasa risasi na baruti zinazo lipua miamba zinasikika. SIYO KILA KITU NI SIASA MKUU.
Mashine zetu ni za china as usual, ukihitaji basi tunakutana tuko mwenge na unaweka order yako bila shaka utakabidhiwa mzigo wako after 45days nashukuruna karibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.