Recent content by MOSHI UFUNDI

  1. MOSHI UFUNDI

    Tukio la ujambazi Posta kwenye duka la kubadilishia fedha mwaka 2006

    Dar es Salaam 2006. Afisa akitazama ndizi na damu nyingi chini baada ya tukio la ujambazi. Majambazi waliiba kwenye duka la kubadilishia fedha la Macsoms-Posta, majambazi walikuja na kuigiza kama wauza ndizi, kwanza walimlima shaba mlinzi, mlinzi chali. Kisha wakatumia dk 10 tu kukwapua...
  2. MOSHI UFUNDI

    Ibada ya funga katika dini zenu haina utaratibu maalumu ndio maana mnakashifu funga ya Waislamu

    Kumuabudu mungu lazima Wenzetu katika nguzo zao za uislamu funga ipo. Haya tuseme sisi upande wetu andiko lipi limezungumzia funga? Linasema vipi?
  3. MOSHI UFUNDI

    Ibada ya funga katika dini zenu haina utaratibu maalumu ndio maana mnakashifu funga ya Waislamu

    Aah sisi hatufuati maandiko yetu ndio maana hata yesu tumeshindwa kumfuata yeye hakuoa sisi tunaoa
  4. MOSHI UFUNDI

    Ibada ya funga katika dini zenu haina utaratibu maalumu ndio maana mnakashifu funga ya Waislamu

    Oya sio poa. Mke wangu inabidi akapigwe tutorial Tanga ya mapishi.
  5. MOSHI UFUNDI

    Ibada ya funga katika dini zenu haina utaratibu maalumu ndio maana mnakashifu funga ya Waislamu

    Wanawake wa kiislamu wanajua kupika ebhana.. Haswa hawa wa Tanga,, unakula Chapati mpaka unajiuliza kwani kule nimetoka zile ni chapati kweli??
  6. MOSHI UFUNDI

    Ibada ya funga katika dini zenu haina utaratibu maalumu ndio maana mnakashifu funga ya Waislamu

    SOma uzi vizuri we Ponjoro. Waislam wamenyooka sana kwenye mambo yao. Vitu vyao wanatia mkazo sana tofauti na sisi tunaoiga iga kwenye uswahili hatupo kwenye uzungu hatupo kazi ni majungu na unafiki. Tunapenda sana kula ndio maaba funga yetu haieleweki mbele wala nyuma.
  7. MOSHI UFUNDI

    Ibada ya funga katika dini zenu haina utaratibu maalumu ndio maana mnakashifu funga ya Waislamu

    1. Dini zetu mpaka sasa hatujui funga ni lazima au hiyari 2. Dini zetu mpaka sasa hatujui tunafungafunga vipi? 3. Dini zetu mpaka sasa hatujui hii ibada inaanza lini na inatamatika lini na kwa utaratibu gani 4. Dini zetu mpaka sasa hatujui hata ibada ya funga imelekezwa vipi katika vitabu vipi...
  8. MOSHI UFUNDI

    Natamani sana zali la utekaji linipate itakuwa fundisho

    Mkorea mwanetu wa The Gunners wazee wa phase 4,,, oya hao jamaa wanakuwa na vimiguu vya kuku,, inabidi uwawahi umpige kata funua akose hata nguvu ya kumeza mate.
  9. MOSHI UFUNDI

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah jamaa waswahili kinoma , pesa wanazotula haziwstoshi, bado wanatutapeli.
  10. MOSHI UFUNDI

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wamekuzuia kuitoa mkuu? Au uliitoa hawajarudisha mpk sasa?
Back
Top Bottom