Recent content by moshevee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakati Samia akizomewa Mwanza, Kinana ahutubia Magari Kigoma

    Anayezomewa akiwa Geita naraia wakutosha .
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa nyomi ya CCM Moshi na kile kilichoripotiwa ITV

    Unatumia King' amuzi gani? Maana nyomi ni ileile station zote.. Au uwe unaangalia Azam Sport HD maana ITV itawapa presha..
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli aiteka Rombo,afanya mkutano Tarakea.Wananchi wasema CCM yatosha!

    Unapima kura kwa jumla ya watu kwenye kampeni? Angalia idadi ya watu sehemu husika..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli aiteka Rombo,afanya mkutano Tarakea.Wananchi wasema CCM yatosha!

    ROMBO unaijua ya mwaka upi? Rombo ya siku hizi sio ile ya zamani.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Haaaaa Kumbe hawa Ukawa wanabebaga watu kwenye maloli na wao?? Nao kumbe wana After skul bash kama sio Fiesta??
  6. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamejipanga rasmi sasa kwa operation toroka uje , chopa saba angani kwa siku 30

    Hatuchagui Chopa tunachagua mtu wakutuongoza.
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

    Mnashangaa push up wakati kuna aliyepanda daladala na kula kwa mama ntilie?? Siasa nimchezo Magufuli anachezea akili za wapinzani leo hamsemi Lowasa kafanya nini cha maana mmekalia Push up????
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kampeni za Magufuli Kamachumu (Muleba ksk), Nshamba(Muleba ksn) mkoani Kagera

    Kura yangu kwa Magufuli tuu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maelufu ya wakazi wa biharamulo wampongeza magufuli

    Hizo tafiti zisizo rasmi ni wapi hizo mkuu?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wasiokuwa na uelewa na mambo ya kitaalam ya wizara zao ni mizigo

    Sijailewa hata kidogo..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mama Magufuli yuko wapi, mbona hamsaidii Mumewe kwenye kampeni?

    Mnataka aache kufundisha watoto wetu ili wafeli mumseme???
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli, hupati kura yangu Oktoba 25

    Mmi kura yangu nampa John Pombe Magufuli..
  13. M

    JamiiForums Tanzania Updates kutoka Uwanja wa Mashujaa Mtwara: Mkutano wa Kampeni za mgombea Urais CCM

    Lengo lake alikuwa analenga kuipa ukubwa gesi kuwa inaweza kujenga viwanda vyenye ukubwa kama viwanda vyandege....
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusidanganywe Dr Slaa kanunuliwa check picha hii

    Hivi Mwigulu sasa hivi siana ndevu au kanyoa leo??????
Back
Top Bottom