Tarehe 25/08/2018..wanafunz wa kiume wa ADVANCE wote katika shule ya Sekondari DAREDA Babati Manyara.. Walifukuzwa shule kwa sababu ya kudai kuwa waligoma au waliendesha mgomo siku iyo ya sikukuuu ya Eid El Hajj ambapo walidaiwa kuingia darasan kama siku nyingine na kuwaacha waislam na sikukuuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.