hellow,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 ni mwanafunzi wa chuo flani,nahitaji msichana wa kuwa nae for long term relationship umri usizidi miaka 25,awe mtu wa kujituma na muelewa,for more details unaweza ukani PM au ukavisit benswagg@rocketmail.com,ur warmly welcome ladies...
Kwanza naomba niwashukuru sana wana JF kwa kutoa mawazo yanayojenga pindi mtu anapokuwa anahitaji msaada huo,binafsi naomba kufahamu juu ghali ya soko la alizeti ndani ya nchi,ni kipi chenye soko zaidi kati ya alizeti yenyewe au mafuta yake,na ni maeneo yapi soko linakuwa zuri zaidi,pia nahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.