Recent content by moses loigwana

  1. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    umejaribu kumtoa huyu mtu porini kuja barabarani lakini ni mshamba bado ameshikilia begi la ujinga
  2. M

    Katu sitounga mkono CHADEMA

    umeanza na pointi ya hoja ya nguvu lakini ulivyoendelea mbele zaidi ulitumia guvu ya hoja hivyo imegeuka kuwa mtazamo tena ya hayawani hvo hatuwezi kujadili mtazamo kwa kuwa kila kitu unadhani
  3. M

    Katu sitounga mkono CHADEMA

    da mwanangu mi mdau lakini aisee umeenda mbali hzi changamoto tu huyu analalamika asubuhi hafu jioni aje kuchukua kadi ya uanachama hafu simwelewi
  4. M

    Katu sitounga mkono CHADEMA

    ni mtazamo ingekuwa hoja tungejadili
  5. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    mimi nadhani muda huu wa kiama watu kuhamia huku kwetu tutumie kuwafukuza wale ndumila kuwili wote na nimekuwa wa kwanza kutekeleza azma hiyo nilikuwa na watu kama shibuda huwezi amini kaondoka moja wamekuja ishirini
  6. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    maskini kumbe ana mtazamo hayawani?
  7. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    ebu jiulize kwanini hajapewa nafasi yeyote ndani ya chama ni mbunge tu basi
  8. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    ila usisahau agizo la mwenyezi mungu la kupendana ila tumhukumu kwa matendo yake na kwa hili kila mtanzania anaumwa sema hatujuliani hali
  9. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    ila tusibishane naye maana watu kama hawa tunazidi kumpa umaarufu cha kufanya ni barua ya karipio kali si kumwomba radhi tusipoteze muda kumvalisha mhuni suti maana atafunga mlegezo tu
  10. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    anaudhi sana na vijana cku zote hawana subira
  11. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    usischoke shibuda ni sehemu ya jamii ni sawa jiwe lililoko njiani ambalo unaweza kujikwaa halafu unalisogeza na kuendelea na safari
  12. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    hapana elewa mambo alitakiwa atoe taarifa za aprm co za kugombea urais kwani si mahala pake halafu jimboni kwake amefanya nini cha kumpa kiburi na kujiamini kuwa anapendwa kiasi cha kutangaza nia ya urais huu si wakati wake
Back
Top Bottom