Kwanini watu wa forex mnakua na visukari sana na kulazimisha watu waamini mnachofanya? Mbona mnatumia nguvu kubwa kwa mambo madogo? Kitu kizuri kinajionesha chenyewe. Hata Petro alijulikana kuwa mwanafunzi wa Yesu kwa namna tu alivyokua akiongea, nakutembea hakusema kuwa, "mimi ni mwanafunzi wa...
Vijana wa kiTanzania ni wavivu katika kila kitu hataki kusoma kuhusu forex marketing ajue kila kitu, ajue namna ya kuanalyze soko asiwe mtumwa wa signals, bots na kumlipa mtu akufanyie trading. Tafuta tu bundle lako ingia youtube mtafute ICT mentorship anza na ICT mentorship core content 1 - 10...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.