Recent content by MoseeYM

  1. MoseeYM

    MSAADA: Ukuta wa nyumba unapandisha unyevu kwenye nyumba nzima

    Ongezea hapo mkuu Kwa wanaoanza kujenga,wakumbuke hata kutumia DPC (Ngozi ulaya),kabla ya kulaza tofali, then wakati wa plaster ni muhimu kutumia waterproof materials kuzuia unyevu unaoweza haribu rangi
  2. MoseeYM

    Hii nyumba hadi saizi hapo imejengwa imekula mil 17

    Mkanda wa msingi unasaidia pia kuzuia nyufa zinazotoka kwenye Msingi zisikate mpaka juu. Otherwise zikitokea nyufa namna ya kuzitibu inakuwa ngumu .na pia kasi ya ungezekaji wa width ya ufa ni kubwa as time goes on in case nyufa zimeanza. Dunia inakabiliwa na movement nyingi sana chini ambazo...
  3. MoseeYM

    Karibu nikupe ramani moja kati ya hizi kwa bei nafuu

    Hoja ya msingi ni ukuta upi? Na maana ya kuutoa kinatokea nini? Ukiachana na idea ya open kitchen ambayo si Kila mtu anaipenda. May be kuwe hakuna privacy .ila sio lazima Kila aliyepo sebuleni ajue unanaingia chumbani au chooni ni design za kizamani .
  4. MoseeYM

    Karibu nikupe ramani moja kati ya hizi kwa bei nafuu

    Kuta zipi na zipi kwenye plan hazina kazi
  5. MoseeYM

    Karibu nikupe ramani moja kati ya hizi kwa bei nafuu

    Ukisema pia Kuta ni nyingi inaondoa dhana ya nyumba yenyewe kuwa Ina Nini na Nini. Mfano ukuta upi wa ndani hauna kazi?
  6. MoseeYM

    Karibu nikupe ramani moja kati ya hizi kwa bei nafuu

    Nashukuru Kwa maoni. But it's all about functionality and high privacy.
  7. MoseeYM

    Karibu nikupe ramani moja kati ya hizi kwa bei nafuu

    Hizi ni one bedroom apartments Kila Moja Ina Chumba Cha kulala,Sebule,Jiko,na choo Kila Moja Ina mita 5.5 Kwa 6.0
  8. MoseeYM

    Karibu nikupe ramani moja kati ya hizi kwa bei nafuu

    Ni PM mkuu nikuandalie Kama hutojali
  9. MoseeYM

    Karibu nikupe ramani moja kati ya hizi kwa bei nafuu

    Ni PM mkuu Nikuandalie chap
  10. MoseeYM

    Karibu nikupe ramani moja kati ya hizi kwa bei nafuu

    Na kama utahitaji ramani ya simple apartments kama hizo nicheki
Back
Top Bottom